MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 2 POST at Tandahimba District Council – June 2025

  • Full Time
  • Mtwara

Website Tandahimba District Council

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 2 POST

POST DETAILS
POST MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 2 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
APPLICATION TIMELINE: 2025-06-04 2025-06-18
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;

ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;

iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;

iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;

v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;

vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;

vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;

viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na

ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS.C

Click here to Apply

To apply for this job email your details to shorany01@gmail.com

Related Jobs