DEREVA DARAJA II – 3 POST
POST DETAILS
POST DEREVA DARAJA II – 3 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema
APPLICATION TIMELINE: 2025-07-29 2025-08-11
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
Kufanya usafi wa gari; na
Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B
Read Also:
- Nafasi za kazi Tanzania – MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 6 POST at Sengerema District Council – July 2025
- Nafasi za kazi Tanzania – MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST at Sengerema District Council – July 2025
- Nafasi za kazi Tanzania – COMMUNITY DEVELOPMENT ASSISTANT GRADE II – 2 POST at Sengerema District Council – July 2025