MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST
POST DETAILS
POST MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema
APPLICATION TIMELINE: 2025-07-29 2025-08-11
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS.C
Read Also:
- Nafasi za kazi Tanzania – DEREVA DARAJA II – 3 POST at Sengerema District Council – July 2025
- Nafasi za kazi Tanzania – MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 6 POST at Sengerema District Council – July 2025
- Nafasi za kazi Tanzania – COMMUNITY DEVELOPMENT ASSISTANT GRADE II – 2 POST at Sengerema District Council – July 2025